HERI MUZIKI
Hakika huyu binadamu anastahili sifa zake na kwa wazalendo kama mimi na wewe siku zote tunakuaga wa kwanza kukumbukaga kupendaga vya kwetu zaidi kabla ya vile vya wenzetu kuviwekaga mbele hata kama vikubwa zaidi, Kwa Style hii ya Uimbaji, Sauti nzuri na Miondoko ya kikwetukwetu, Heri Muziki utafanikisha kuipaisha Bendera ya Tanzania mbali zaidi,
Nakukumbukaga - Hii song ni Balaa sio siri, Ever since inapikwa nilijua tu itakuwa Hit song, Tayari tunaona kiasi gani inafika pahala tulikuwa tunatamani... Ongeza juhudi katika kazi yako, Sali sana, Heshimu kila mtu kama ulivyo sasa, Mafanikio yako yapo jirani sana na wewe, Keep it up my Lil Brother!
Kila la kheri na Mimi kama Rafiki na Kaka yako nipo bega kwa bega na wewe...
Unaweza kusikiliza kuziki wake huu kupitia link hii sasa http://hu.lk/uv8ntu2onlds
Nakukumbukaga: Song Written by Barnaba, Heri Muziki and KT
Produced by: Mswaki and Fundi Samweli
#Theunknown